Back to repertoire
English
Nyanyukeni Waumini Wote Tufanye Shangwe
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
{Nyanyukeni waumini wote tufanye shangwe
Kwa nderemo, kwa vigelegele na kwa vifijo } *2
Bwana asifiwe (sana) Bwana asifiwe (kweli)
Bwana asifiwe Mwathani aragoshuo
1. Nikiziangalia mbingu ni kazi ya vidole vyake
Mwezi na nyota za mbinguni ulizoratibisha wewe
2. Uwezo wake Bwana Mungu haupimiki kwa mizani
Mipango yake kwetu sisi haiwezi kubadilishwa
3. Alikausha baharí ya Shamu ikawa nchi kavu
Waisraeli wakapita kwa uwezo wa Mungu Baba
4. Na tupigeni tarumbeta vinubi hata na matari
Tuimbe wimbo wake Musa na ule wa Mwanakondoo
5. Pazeni sauti zenu kwa shangwe hata na vifijo
Sifa pia na utukufu tumpe Bwana siku zote
Liturgical seasons
Ordinary Time
Mass parts
Entrance