Back to repertoire
Swahili

Yesu Mwema Najitolea Kwako

Also known as: Yesu Mwema

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

1. Yesu mwema najitolea kwako kwa leo hii na siku zote,
Nafsi yangu na moyo wangu wote.
(Heri kweli *3 raha ya uwingu) *2
2. Ndani yangu umekuja daima; kuwa nami ni pendo lako.
Ewe mpenzi mwenye utamu mwingi.
(Ni mapendo *3 ya moyo wako) *2
3. Nitaweza kukurudishia nini, kwa wema huu na pendo lako?
Roho yangu umeifadhilia.
(Nikupende *3 ni tamaa yangu) *2
4. Weka Rabii katika roho yangu wema wako na unyenyekevu,
na pendo kuu fadhili ya imani.
(Niongoze *3 katika imani) *2

Liturgical seasons

Mass parts

Communion