Back to repertoire
Swahili

Watu Wote Watangazieni

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

1. Watu wote watangazieni neno la Muumba Mungu,
wamwamini na kutubu yote *2

Wambieni (waambieni) watu wote leo
Wamwamini (wamwamini) Bwana Yesu kweli
Nakushika (na kushika) neno lake Bwana
Nakuomba (na kuomba) kwa Muumba Mungu *2

2. Wale wote tuliomwamini Bwana atakaporudi,
tutakwenda naye juu mbinguni
3. Watu wote wasiomwamini Bwana atakaporudi,
watalia na shetani nao.
4. Ndugu zetu tuliomwamini Bwana tutakapokwenda,
duniani moto utawaka

Liturgical seasons

Mass parts