Back to repertoire
Swahili

Uipokee

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Uipokee sadaka, Ee Bwana Mungu tusikie,
Bwana uipokee kwa wema, Ee Bwana Munguu wetu *2

1. Twakutolea sadaka ya ibada yetu, ikupendeze itupatie wokovu.
2. Ee Bwana usikilize sala zetu, tunazokutolea Bwana Mungu wetu.
3. Ututakase kwa nguvu ya sadaka hii, natupate maondoleo ya dhambi zetu.
4. Ni nani aliye Mungu ila wewe Bwana, na utukuzwe Mungu wa wokovu wetu

Liturgical seasons

Mass parts

Offertory
Thanksgiving