Back to repertoire
Swahili

Twendeni Kwa Karamu

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

1. Twendeni kwa karamu ya Bwana tumeitwa -
Twendeni twende kumpokea
(Ni mwaliko wa Bwana - Tukale mkate wa uzima) *2
2. Tujitakase mbele ya kwenda kwa karamu hii
- Twende watakatifu -
3. Karibu kwangu Yesu ukae kwangu daima
- Nifunze njia yako -
4. Na kwa uwezo wako imani yangu nakiri
- We u Mungu Mwokozi -
5. Usituache basi pamoja nasi ukae
- Kwa kuwa kumekucha –
6. Na tufurahi mwisho pamwe na Baba milele
- Kwa umoja na Roho –

Liturgical seasons

Mass parts

Communion