Twende Sote Nyumbani Mwake
Also known as: Twende Sote
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Twende sote nyumbani mwake Bwana Mungu (Aee-ee)
Twende sote nyumbani mwake aliyetuumba x2
1. Yeye ndiye kinga yetu Bwana Mungu (aee-ee)
...Twende sote nyumbani mwake aliyetuumba
Yeye ndiye nguvu yetu Bwana Mungu ...
2. Wewe Bwana wa Majeshi Bwana Mungu...
Ndiye Mungu wa Yakobo Bwana Mungu...
3. Wewe Mfalme wa wafalme Bwana Mungu..
Ndiye Mfalme wa dunia Bwana Mungu...
4. Ndiye Mfalme wa Mbinguni Bwana Mungu...
Wewe Mungu wa wokovu Bwana Mungu...
5. Wewe Ndiwe Mwamba wetu Bwana Mungu...
Na hekima ya dunia Bwana Mungu...
6. Jina lako litukuzwe Bwana Mungu...
Ndiye Mungu Mtakatifu Bwana Mungu...
7. Pendo lake la milele Bwana Mungu...
Ndiye Mungu Mwana kweli Bwana Mungu...