Back to repertoire
Swahili

Twende Nyumbani Mwa Bwana Hoya! (Hoya!)

Also known as: Twende Nyumbani Mwa Bwana · Twende Nyumbani Mwa Bwana Hoya! · Twende Nyumbani (Hoya!)

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Entrance

1. Nalifurahi waliponiambia twende nyumbani mwa Bwana *4
Wololololo!
Twende nyumbani twende (twende) nyumbani
Njooni (twende) tuingie nyumbani mwake Bwana Mungu.
Inapendeza!
Twende nyumbani twende (twende) nyumbani
Njooni (twende) tuingie nyumbani mwake Bwana Mungu.
2. Nyumba ya Mungu ya kuabudiwa njooni tukamuabudu. *2
Nyumba ya Mungu inayopendeza kweli imejaa Baraka. *2
3. Nyumba ya Mungu ni yenye amani pia ni yenye upendo *2
Tufurahie nyumbani ya Mungu kwani ni yenye furaha *2
4. Tucheze ngoma kinanda kinubi, gita kayamba na zeze *2
Tumuimbie anayestahili kwani ni Mungu milele. *2

Entrance

Twende nyumbani mwa Bwana, Hoya!
Twende nyumbani mwa Bwana, Hoya! *2
Tuimbe tushangilie tupige vigelegele tupige makofi hoya hoya! *2
1. Twende tumsifu kwa nyimbo za Zaburi wakristu hoya -
Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu hoya
2. Twende tumsifu kwa ngoma na kayamba wakristu, hoya -
Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya
3. Twende tukacheze vinanda na vinubi wakristu, hoya -
Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya
4. Tujitayarishe kwa nyimbo zake Bwana wakristu, hoya -
Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance
Twende Nyumbani Mwa Bwana Hoya! (Hoya!) — Community Choir