Back to repertoire
Swahili

Tuingie Kwa Yahweh Bwana

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Tuingie! {Tuingie kwa Yahweh Bwana, furaha gani siku ya leo}*2

1. Nalifurahi waliponiambia, twende nyumbani kwa Yahweh Bwana
2. Bwana asema nyumba yangu hii leo, itaitwa nyumba ya sala
3. Tumwabudu Bwana Yesu Kristu, atupa uzima wa milele
4. Tufurahie siku hii ya leo, kwani ni siku yake Bwana
5. Sasa miguu yetu isimame, katika hekalu lake Bwana
6. Tumshukuru Bwana Yesu Kristu, atupa uzima wa milele

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance