Back to repertoire
Swahili

Tuimbe Kwa Shangwe na Furaha

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Tuimbe kwa shangwe na furaha *2
Bwana ametufanyia makuu
1. Tuingie kwake Mungu wetu, Tuingie kwake kwa shukrani,
Bwana ametufanyia makuu
2. Yeye ndiye Mungu wa miungu, Yeye ndiye Bwana wa mabwana, ...
3. Bwana ni mfalme wa wafalme, Yeye ndiye Baba wa viumbe, ...
4. Ametenda mambo ya ajabu, Aliye gizani hatajua, ...
5. Tuingie kwake Muumba wetu, Tuingie kwake kwa shukrani ...
6. Sifa na heshima kwake Mungu, Mwenye utukufu wa ajabu...

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance