Back to repertoire
Swahili
Tazameni Kule Kalivari
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Tazameni kule Kalivari
Mwokozi aliteswa na dhambi x2
Alizikwa mle kaburini
Mwisho akatoka kwa ushindi
Nitashinda Bwana nitashinda
Kama wewe pia ulishinda x2
Nitapita mapitoni mwako;
Nimeanza Bwana nitashinda
2. Njia mbovu zote nimeacha
Nitapitia njia nyembamba
Walipitia Elija na Musa
Walianza mwisho wakashinda
3. Kupokea wimbo wa ushindi
Kuchukuliwa kwa mawingu x2
Malaika kutwa wanaimba
Wakisifu nyimbo za ushindi