Back to repertoire
Swahili
Tazama Bwana Tunakuja Kwako
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
{Tazama, Bwana tunakuja kwako (leo)
Twaleta sadaka yetu mbele yako
Tunakuomba Mungu Baba pokea } *2
1. Kwa nguvu zako uliweza kustawisha
Mazao bora, na sasa twakutolea
Mashamba uliyarutubisha kwa
Mvua nzuri mazao kwa wingi yakasitawi
2. Bahari mito na maziwa Bwana ukajaza
Samaki wengi wa kupendeza
Angani ndege wengi wanarukaruka
kushangilia neema yako ee Bwana
3. Wanyama maporini wanarukaruka
Kushangilia neema yako ee Bwana
Wadudu nao wakachecheza kuonyesha
Furaha kubwa waliyo nayo
Liturgical seasons
Mass parts
Offertory