Back to repertoire
Swahili

Simama! Simama Imara Jilinde

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Simama imara jilinde/ Neno lake Bwana imara
Kesha kila siku uombe/ Utasimama.

1.Milima yote na mabonde/ itayeyuka
Neno lake Bwana imara/ Litasimama
2. Mapendo ya Mungu tumejaa/ Roho wa kweli
Imara yetu ndani yake/ Awe muhuri
3. Siku za huduma ni chache/ Tuwe mashujaa
Roho wa Yesu akaa nasi/ Mpaka hatima.
4. Katika yote tutashinda/ Kwa nguvu yake
Nani aweza kututenga/ Na pendo lake
5. Heri ashikaye maneno/ Ya Mungu Mwana
Naam naja upesi amina/ Njoo Yesu Bwana.

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance
Simama! Simama Imara Jilinde — Community Choir