Back to repertoire
Swahili

Sauti ya Yohanna

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

1. Sauti ya Yohana yasikika nyikani –
Tengenezeni njia Bwana apite
Malaika kahubiri, kahubiria Mariamu,
tengenezeni njia Bwana apite

[T] Apite [W] Apite, apite
[B] Bwana apite *2 Tengenezeni njia Bwana apite

2. Na wewe kijana rekebisha mwenendo....
Acheni fitina chuki na hasira....
3. Bwana alituachia hili neno takatifu....
Tulitangaze kote ulimwenguni....

Liturgical seasons

Mass parts