Back to repertoire
Swahili

Sakramenti Kubwa Hiyo

Also known as: Sakramenti Kubwa Hio

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

1. Sakramenti kubwa hiyo, twaheshimu kifudi,
Na sheria ya zamani, ikomeshwe na hiyo;
Yafichikayo machoni, imani huyaona
2. Mungu Baba Mungu mwana asifiwe kwa shangwe,
Kwa heshima atukuzwe, pia aabudiwe
Mungu Roho Mtakatifu ile sifa apate
Amen.

Liturgical seasons

Mass parts

Communion