Back to repertoire
Swahili

Pokea Ee Baba

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Pokea ee Baba vipaji vyetu hivi, vitakase Bwana uvibariki *2
1. Fedha tunatoa, mikononi mwako, zitakase Bwana uzibariki
2. Mazao ya shamba, twayaleta kwako, yatakase Bwana uyabariki
3. Mkate divai, tunaleta kwako, vitakase Bwana uvibariki
4. Na sisi wenyewe, twajitoa kwako, tutakase Bwana utubariki
5. Atukuzwe Baba, na Mwana na Roho, mwanzo hata sasa milele yote

Liturgical seasons

Mass parts

Offertory