Back to repertoire
Swahili

Nyumbani Mwa Bwana

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

(Nyumbani mwa Bwana) twende sote kwa shangwe,
(tukamuabudu) muumba kwa vifijo na nderemo twendeni kwa shangwe)*2
Kwa vifijo na nderemo twendeni kwa shangwe.

1. Alituumba ili tumjue yeye muumba. na tumtumikie yeye muumba) *2
2. Chezeni ngoma makofi hata na tarumbeta na tumtumikie yeye muumba) *2
3. Bwana wa mabwana , tumpe heshima kwa nyimbo zetu na tumtumikie yeye muumba) *2
4. Mwimbieni Bwana, nyimbo tamutamu za kumtukuza na tumtumikie yeye muumba.) *2

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance