Back to repertoire
Swahili

Njooni Wapenzi Tufanye Shangwe

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

1. Njooni wapenzi, tufanye shangwe, Mwokozi Bwana amefufuka
Viumbe vyote tufanye shangwe, Mwokozi Bwana amefufuka

Na tufanye shangwe, tuimbe aleluya
Mwokozi Bwana amefufuka *2

2. Leo mapema amefufuka -
Kaburi lake ameliacha -
3. Walinzi wake walishituka -
Wakawa kama wamezimia -
4. Kwa ufufuko wako ee Bwana -
Umeturudishia uzima -
5. Umewashinda adui zetu -
Mauti kali pia shetani -
6. Enzi ni yako ya umilele -
Shukrani sifa na utukufu -
7. Hii ndiyo siku iliyofanywa -
Na Mungu nayo ni ya furaha –

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance