Back to repertoire
Swahili
Nitatangaza Neno Lake Bwana
Also known as: Nitatangaza Neno Lake
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Nitatangaza neno lake Bwana; Kwa mataifa mbalimbali oo
Na Uganda - waimbe na kumsifu Bwana
Na Wakenya - waimbe na kumsifu Bwana
Nitatangaza neno lake Bwana; Kwa makabila mbali mbali oo
Wamasai .... WaTaita ...
Nitatangaza neno lake Bwana; Katika miji mbalimbali oo
Kwa Nairobi ... Na Mombasa