Back to repertoire
Swahili

Nitamsifu Mungu wa Mbinguni

Also known as: Nitamsifu Mungu

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Nitamsifu Mungu wa mbinguni, aliyeniumba
Ananipenda tena anilinda, kati ya mabaya

1. Ananipenda kuliko vyote, Akaniumba kwa mfano wake,
Uhai wangu najivunia kwani najua anipenda *2
2. Viungo vyote vya mwili wangu; vyamtukuza, vyamuabudu,
Najitolea maisha yangu kufanya kazi Yake Bwana *2
3. Ninakuomba unipe nguvu za kukupenda na kukusifu,
Siku kwa siku nikutukuze, kwani ni wewe Mungu wangu *2

Liturgical seasons

Mass parts

Thanksgiving