Back to repertoire
Swahili

Nitakwenda Mimi Mwenyewe

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Nitakwenda mimi mwenyewe, nikatoe sadaka kwa Bwana
{Aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi
Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu wangu
Kwa kuniumba hadi nikapendeza } *2

1. Kaniumba kwa mfano wake, kuliko viumbe vingine
Na sasa nikatoe shukrani
2. Vyote nilivyo navyo ni vyake, nimrudishie kwa mapendo,
Na sasa nikatoe shukrani
3. Mema mengi amenijalia, ya mbinguni na duniani
Na sasa nikatoe shukrani
4. Siku zote wanilinda vyema, wanitunza na kunijali
Na sasa nikatoe shukrani.

Liturgical seasons

Mass parts

Offertory
Nitakwenda Mimi Mwenyewe — Community Choir