Back to repertoire
Swahili
Nina Neno
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Nina neno, moyoni mwangu, Natangaza ulimwenguni,
Ya kwamba naokolewa, ni Yesu, kaniokoa faida.
Yesu, yu ndani yangu, Na mimi ni ndani yake,
(Kwa hivyo), kuishi kwangu, Ni Kristu, na kufa kwangu faida.
2. Ni hakika nina furaha, na amani moyoni mwangu,
ninao, uzima tele, ni Yesu aniokoa faida.
3. Mtu akiwa, ndani ya Kristu, amekuwa kiumbe kipya,
Ya kale yameshapita, na sasa kiumbe kipya faida.