Back to repertoire
Swahili

Nimtume Nani

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Nimtume nani, unitume mimi, nitume Bwana *2
Nitakwenda kutangaza Neno lako Bwana
Mataifa ya dunia yakufuate wewe
Unitume mimi nitume Bwana

1. Bwana asema, nimtume nani
Aende kuwahubiria mataifa?
2. Bwana amenituma kuihubiri habari njema kwa watu
Roho wa Bwana yu juu yangu
3. Kwa maana amenitia mafuta
Kuwahubiria maskini habari njema
4. Bwana ndiye kiongozi wangu
Anisaidie kuchunga neno lake

Liturgical seasons

Mass parts

Nimtume Nani — Community Choir