Back to repertoire
Swahili

Nimeonja Pendo Lako

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

1. Nimeonja pendo lako nimejua u-mwema,
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe!
Nitawaongoza vyema waimbe kwa furaha,
Nitakushukuru …

Ukarimu wako Bwana, na Huruma yako wewe,
Msamaha wako Bwana na upole wako wewe,
Umenitendea wema usiopimika,
Nitakushukuru …….

2. Kina mama simameni, piga vigelegele, …
Na kina baba nyanyukeni mpige makofi …
3. Watu wote nesanesa, chezeni kwa furaha …
Inua mikono juu, mshangilieni Bwana …
4. Watawa washangilie, Makasisi waimbe …
Walei warukeruke, waseme Alelluya, …
5. Vitambaa mikononi, vipeperushwe juu, Nitakushukuru …
Na vichwa viyumbeyumbe kwa mwendo wa kuringa, …
6. Nitakushukuru mimi, na nyumba yangu yote, …
Nitayatangaza haya, maisha yangu yote, …

Liturgical seasons

Mass parts

Thanksgiving