Back to repertoire
Swahili

Nimekuja Kwako

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

[s:] Nimekuja kwako,
[w:] Nimekuja kwako kukuabudu *2
[s/b:] Ninakuabudu kwa sala (pia) kwa nyimbo.
[a/t:] Kwa sala nakukutukuza kwa nyimbo
[w:] Nimekuja kwako kukuabudu *2
1. Ninakusifu ee Bwana kwa kuwa wewe ni mwema,
Na huruma yako ni ya milele *2
2. Ninatubu dhmabi zangu kwa kuwa ni mkosefu
Na msamaha wako ninakuomba *2
3. Atukuzwe Mungu Baba pia na Mwana na Roho
Kama mwanzo sasa mpaka milele

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance