Back to repertoire
English
Nimeingia Hapa Mahali
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Nimeingia (kwako) hapa mahali patakatifu
Unipokee (kwako) unitakase nipate neema
1. Nimeingia kwako nimeingia, Hapa mahali patakatifu
2. Ee Bwana mwema wewe mfadhili sana, Nakuja kwako kukutukuza
3. Nakuabudu pia nakusujudu; Nisaidie mimi ni wako
4. Mimi Mkristu pokea sala zangu; Ninakuomba unisaidie
4. Nihurumie kwani mimi mnyonge; Nategemea msaada wako
5. Unipokee kwako unipokee; Unitakase nipate neema
Liturgical seasons
Mass parts
Entrance