Back to repertoire
Swahili

Nikupe Nini (Cha Kukupendeza)

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Nikupe nini Mungu wangu
Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza
Cha kukupendeza, cha kukupendeza Cha kukupendeza,
Cha kupendeza, siku hii ya leo
1. Ninacho kidogo, cha kukupendeza, ewe Mungu wangu
Ninachoandaa siku hii ya leo ndicho hiki Bwana
2. Sadaka ya leo, ni sadaka safi, isiyo na doa
Twakuomba Bwana twakuomba Bwana upendezwe nayo

Liturgical seasons

Mass parts

Thanksgiving
Nikupe Nini (Cha Kukupendeza) — Community Choir