Back to repertoire
Swahili
Ni Neno! Toka Kwa Bwana Linakuja
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
[T:] Ni neno! toka kwa Bwana linakuja, [All:] Ni neno toka kwa Bwana linakuja *2
Tusikie neno neno lake Bwana ah ah; Ni neno toka kwa Bwana linakuja.
1. Injili! Toka kwa Bwana inakuja! Injili toka kwa Bwana inakuja
2. Ushindi | 3. Hekima. | 4. Baraka. | 5. Fadhili