Back to repertoire
Swahili

Nakukaribisha Yesu Wangu

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

1. Nakukaribisha Yesu wangu ukae moyoni mwangu, (Bwana),
Nakukaribisha Yesu wangu chakula chenye uzima

(Nishibishe) unishibishe (kwa chakula) chakula cha uzima
Uninyweshe (Niyweshe) kinywaji (kinywaji) safi cha roho *2

2. Mwili wako ni chakula kinacho iburudisha roho yangu
Yesu karibu moyoni mwangu ukae nami daima
3. Damu yako ni kinywaji kinacho iburudisha roho yangu,
Yesu karibu moyoni mwangu, ukae nami daima
4. Kwa Mwili na Damu yako Ee Yesu tunapata uzima tele
Yesu karibu moyoni mwangu, ukae nami daima

Liturgical seasons

Mass parts

Communion