Back to repertoire
Swahili
Mwamba Mwenye Imara
Also known as: Mwamba Wenye Imara
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Mwamba wenye imara, kwako nitajificha;
Maji hayo na damu, yaliyo toka humu;
Hunisafi na dhambi, hunifanya mshindi.
2. Kwa kazi zote pia, sitimizi sharia;
Nijapofanya bidii, nikilia na kuudhi;
Hayaishi makosa, niwe wa kuokoa.
3. Sina cha mkononi, naja msalabani;
Nilitupu, nifike, ni mnyonge, nishike;
Nilimchafu naja, nioshe nisijafa.
4. Nikungojapo chini, na kwenda kaburini;
Nipaapo mbinguni, na kukwona enzini;
Roho yangu naiwe, rahani mwako wewe.
Liturgical seasons
Mass parts
Recessional