Back to repertoire
Swahili
Mpeni Mungu Mali Yake
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Mpeni Mungu Mali yake,
Mpeni Bwana haki yake. *2
1. Leteni zawadi kwa Bwana –
Mkate, kiini cha ngano –
Divai, tunda la mzabibu –
Na Bwana atazibariki –
2. Na kazi ya mikono yetu –
Nazo nafaka za mashamba –
Nayo mapato ya mashamba -
Na Bwana atayatakasa –
3. Sisi ni mali yake Bwana –
Toeni nafsi kwake Bwana –
Nayo furaha na uchungu –
Na Bwana atavipokea –
4. Vitu vyote ni vyake Bwana –
Itangaze sifa yake –
Uhubirini ukuu wake –
Milele hata na milele –
Liturgical seasons
Mass parts
Offertory