Back to repertoire
Swahili

Mkizipenda Sheria Zangu

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

{Mkizipenda sheria zangu (wote),
nitawaombea kwa Baba yangu (na yeye)
atamtuma Roho wa kweli (ndiye)
atakaye wafariji mioyo } *2

1. Nyumbani mwa Baba kuna mengi, kwa kweli atawapa makao *2
2. Sitawaacha kama yatima, nitamtuma Roho wa kweli *2
3. Kwa kweli mkinipenda mimi, na Baba yangu atawapenda *2

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance
Mkizipenda Sheria Zangu — Community Choir