Back to repertoire
Latin

Misa Subukia

Also known as: Subukia Mass · Sanctus – Misa Subukia

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Gloria

{Utukufu juu kwa Mungu, na amani duniani,
kwao watu wenye mapenzi, watu wenye mapenzi mema } *2

1. Tunakusifu tunakuheshimu, twakuabudu tunakutukuza
Twakushukuru kwa ajili yako, ya utukufu wako mkuu.
2. Ee Mungu baba ndiwe mfalme, Mfalme wa Mbinguni Baba mwenyezi.
Ee Yesu Kristu mwana wa pekee, mwanakondoo mwana wa Baba.
3. Uondoaye dhambi za watu tuhurumie tusikilize,
Tuhurumie mwenye rehema maombi yetu uyapokee.
4. Uketiye kuume kwake, Mungu baba tuhurumie.
Kwa kuwa ndiwe pekee yako, Pekee yako Mtakatifu.
5. Pamoja naye roho Mtakatifu, katika utukufu wake
Anayeishi na kutawala, milele yote Amina.

Agnus Dei

Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia utuhurumie *2
Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia utujalie amani,
Utujalie amani

Sanctus

Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu Mungu wa majeshi
Mbingu na dunia, zimejaa, zimejaa utukufu wako.
Hossanna, hosanna, hosanna hosanna juu mbinguni *2

Mbarikiwa anayekuja, anayekuja kwa jina la Bwana.
Hossanna, hosanna, hosanna hosanna juu mbinguni *2

Mystery Of Faith

Kristu alikufa, Kristu alifufuka
(Kristu) atakuja tena; (Kristu) atakuja tena

Gospel Acclamation

Alleluia *n

Gospel Acclamation

Aleluya *n

Great Amen

Amen! *n

Liturgical seasons

Mass parts

Gloria
Acclamation
Sanctus
Mystery of Faith
Amen
Agnus Dei
Offertory