Misa Mt. Elizabeti
Also known as: Misa Elizabeti · Mt. Elizabeti
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Kyrie
Bwana, Bwana x2 'Tuhurumie x2
Kristu, Kristu x2 'Tuhurumie x2
Bwana, Bwana x2 'Tuhurumie x2
Gloria
Utukufu kwa Mungu juu, na amani duniani
Kwa watu wenye mapenzi mema *2
1. Tunakusifu tunakuheshimu – Sifa ni kwako milele yote
Twakuabudu, tunakutukuza -
Twakushukuru kwa utukufu -
Mfalme wa mbingu, Baba Mwenyezi -
2. Yesu Kristu, mwana wa pekee -
Mwanakondoo, mwana wake Baba -
Uondoaye dhambi za dunia -
Utuhurumie utusikilize -
3. Unayeketi kuume kwa Baba -
Mtakatifu mkuu Yesu Kristu -
Na pamoja naye Roho Mtakatifu -
Ndaniye Baba. Amina. Amina.
Sanctus
Mtakatifu, mtakatifu mtakatifu mtakatifu
Mungu wa majeshi
Ulimwengu, ulimwengu Umejaa sifa yako Bwana
Hosanna *4 Hosanna juu mbinguni *2
Mbarikiwa ajaye kwa jina lake Bwana *2
Hosanna *4 Hosanna juu mbinguni *2
Mystery Of Faith
Kristu - alikufa, Kristu - alifufuka, Kristu - atakuja tena x2
Agnus Dei
Mwanakondoo wa Mungu (ewe)
Unayeondoa, dhambi za dunia, tuhurumie *2
Mwanakondoo wa Mungu (ewe)
Unayeondoa, dhambi za dunia, tujalie amani