Back to repertoire
English
Misa Luo
Also known as: Luo Mass
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Utukufu kwa Mungu juu!
Na amani kwa watu wenye mapenzi mema
1. Tunakusifu, tunakuheshimu tunakuabudu
2. Tunakusifu, tunakuheshimu, Mfalme wa Mbingu
3. Ee Bwana Mungu mfalme wa Mbinguni, Mungu Baba Mwenyezi
4. Ewe Yesu Kristu Mwana wa pekee, Mwana wake Baba
5. Mwenye kuondoa, dhambi za dunia, utuhurumie
6. Mwenye kuketi, kuume kwa Baba, pokea ombi letu
7. Peke yako Bwana peke yako mkuu peke yako mkombozi
8. Pamoja na Roho, Roho Mtakatifu, milele amina
Liturgical seasons
Mass parts
Gloria