Back to repertoire
Swahili

Misa Fadhili

Also known as: Sanctus – Misa Fadhili

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Gloria

Utukufu kwa Mungu Mbinguni
Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni
Na amani (kote) duniani kwa watu wa mapenzi mema.

1. Tunakuheshimu tunakusifu, tunakuabudu twakutukuza ee Bwana
2. Tunakushukuru mfalme wa mbingu Mwana wa pekee mwana wa Baba ee Bwana
3. Unayeondoa makosa yetu Utuhurumie tusikilize ee Bwana
4. Kuume kwa Baba unapoketi Mtakatifu mkuu tuhurumie ee Bwana
5. Roho Mtakatifu pamoja nawe, Ndani yake Bwana unatukuzwa ee Bwana

Sanctus

Mtakatifu, mtakatifu Bwana; Mtakatifu Mungu wa majeshi
Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu wako
Hosanna *5 Hosanna juu mbinguni *2
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina lake Bwana
Hosanna *5 Hosanna juu mbinguni *2

Mystery Of Faith

Ee Bwana tunatangaza kifo chako
Na kutukuza ufufuko wako
Mpaka utakapokuja, mpaka utakapokuja

Great Amen

Amen *3

Liturgical seasons

Mass parts

Gloria
Mystery of Faith
Amen
Sanctus
Agnus Dei
Offertory