Back to repertoire
Swahili

Mimi Ninakuja

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Mimi ninakuja,
Mimi ninakuja na zawadi zangu, Bwana pokea } *2
1. Mkate na divai, Bwana pokea
Mazao ya mashamba, Bwana pokea
Na pia nafsi zetu, Bwana pokea
Vyote tulivyo navyo, Bwana pokea
2. Furaha na uchungu, Bwana pokea
Na kiini cha ngano, Bwana pokea
Na tunda la mzabibu, Bwana pokea
Fedha za mifukoni, Bwana pokea
3. Nafaka upokee, Bwana pokea
Twakutolea vyote, Bwana pokea
Kwako Baba Muumba, Bwana pokea
Kwa njia ya Mwokozi, Bwana pokea
4. Katika mfariji, Bwana pokea
Ipate kugeuzwa, Bwana pokea
Iweze kutufaa, Bwana pokea
Pokea twakuomba, Bwana pokea
5. Ingawa ni kidogo, Bwana pokea
Twakutolea kwa moyo, Bwana pokea
Baba usikatae, Bwana pokea
Vipaji vya wanao, Bwana pokea

Liturgical seasons

Mass parts

Offertory
Mimi Ninakuja — Community Choir