Back to repertoire
Swahili
Mfalme Mtukufu Mpeni Heshima
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Mfalme Mtukufu mpeni heshima,
Fungueni lango ataingia,
Mfalme gani huyu mwenye heshima,
Ndiye mwenye nguvu ya kutawala.
Aleluya, aleluya aleluya
2. Lango la milele wazi funguka,
Kwani Mfalme wetu ataingia.
Mfalme gani huyu mwenye heshima,
Bwana wa malaika mwenye imara.
3. Enyi binadamu wenye ibada,
Na majeshi yote ya malaika,
Tumwabudu Bwana, tukamsifie,
Tumtukuze mno, tukammyenyekee.
Liturgical seasons
Mass parts
Entrance