Back to repertoire
Swahili

Lugha ya Mziki

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Nimesikia nyimbo nzuri za kumsifu Mungu
mi fa so do ti la so mi Lugha ya muziki
Nimependezwa sana mimi kumuimbia Mungu
mi fa so do ti la so mi Lugha ya muziki

Waimbaji wanaimba, nyimbo nzuri tamu tamu
Utukufu wake Mungu, atukuzwe Mungu do so Mungu wetu
Malaika wanaimba nyimbo nzuri tamu tamu utukufu wake
Mungu atukuzwe Mungu so so Mungu wetu

1. Kwa lugha ya muziki Mungu asikia kuomba kwetu
Kwa lugha ya muziki Mungu asikia na sala zetu
2. Kwa lugha ya muziki Mungu analeta faraja kwetu
Kwa lugha ya muziki Mungu analeta upatanishi
3. Kwa lugha ya muziki Mungu analeta furaha kwetu
Kwa lugha ya muziki Mungu huondoa hasira kwetu
4. Kwa lugha ya muziki Mungu atuweka karibu naye
Kwa lugha ya muziki Mungu atuliza mateso yetu

Liturgical seasons

Mass parts

Recessional