Back to repertoire
Swahili

Kongoi Mising

Also known as: Kongoi Misin · Kongoi Missin

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Kongoi mising Cheptalel Kwandanyo
{Kongoi mising (haiya haiya) kongoi missing kiptayanyo}*2

{Kongoi we kongoi cheptalel (kongoi)
Kongoi we Baba kongoi mising} *2
{Twakushukuru Mungu, maana we u mwema
Kongoi we Baba kongoi mising} *2

1. Wakati wa majonzi, wewe ndiwe tulizo
Wakati wa hasira wewe ni burudisho (hakika)
Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
2. Giza likitokea wewe ndiwe mwangaza
Magonjwa yakijiri wewe ndiwe tabibu . . .
3. Adui zangu wote umewaaibisha,
Japo ni wengi sana kama nywele za kichwa . . .
4. Wakati wa– njaa wewe ni msaada
Wajane mayatima wewe unawalinda wote . . .

Kongoi mising Cheptalel Kwandanyo
{Kongoi mising (haiya haiya) kongoi missin kiptayanyo}

Liturgical seasons

Mass parts

Thanksgiving
Kongoi Mising — Community Choir