Back to repertoire
Swahili
Kikondoo Cha Mungu
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
{Kikondoo cha Mungu, mkate wa Mbinguni
Mlishi wa roho zetu, nakuabudu} *2
1. U Babangu mwema, na msimamizi
Mpaji wa uzima, wangu mwokozi
2. Fumbo abudiwa, nakuamini
Kaza Yesu mpendwa, yangu imani
3. Mlo wa roho yangu, hostia nzima
Niwie ya mbingu, kweli amana
4. Ee Rabbi mtu Mungu, unirizishe
Njoo shuka kwangu, kanishibishe
5. Anakaribia, mpenzi amini
Ataka ingia mwangu moyoni
Liturgical seasons
Mass parts
Communion