Back to repertoire
Swahili
Kama Ayala
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Kama ayala aioneavyo kiu mito ya maji ndivyo
ninavyokuonea kiu Mungu wangu x2
1. Ninatamani kushibishwa kwa mwili wako Bwana wangu,
Ninatamani kuburudishwa kwa damu yako Mungu wangu
2. Umeniumba kwa ajili yako ndiyo maana sishibishwi,
Utanituliza nafsi yangu Mungu wangu uliye hai
3. Karibu Bwana moyoni mwangu niishi kiekaristia
ili nipate raha ya kweli nikupendeze siku zote
Liturgical seasons
Mass parts
Communion