Back to repertoire
Swahili

Jina Maria

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Jina Maria, ni jina tukufu! Lafurahisha, linatutuliza
Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba
(wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria) *2

1. Maria mama wa Mungu tuombee, (tuombee kwa mwanao Yesu Kristu) *2
2. Jina lako siku zote lapendeza, (wewe uliye mnara wa Daudi) *2
3. Jina lako siku zote lapendeza (wewe uliye malkia wa Mbinguni) *2
4. Twaliimba jina lako siku zote (jina Maria linatufurahisha) *2

.

Liturgical seasons

Mass parts