Back to repertoire
English
Injili Yake Bwana
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Injili yake Bwana, ni neno lake Mungu,
Injili iende mbele aah aah aa
Injili iende mbele aah aah aa
Injili iende mbele ni neno la wokovu
aah aah aa *2
2. Ni neno lenye mwanga, ni neno lenye nguvu
Ni neno la amani aah aah aa
3. Injili yaokoa, injili yaponyesha
Injili yadumisha aah aah aa
4. Mkristu jiandae kusikiliza neno
Neno lenye uzima aah aah aa