Back to repertoire
Swahili

Inasonga Mbele Injili

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

{Inasonga mbele injili! Inasonga, {eeh eeh}
Inasonga mbele injili inasonga mbele} *2
1. Kwa vijana inasonga . . .
Kwa wazee Inasonga . . .
2. Kwa wamama Inasonga . . .
Kwa wababa inasonga . . .
3. Kwa mapadri inasonga . . .
Kwa watawa inasonga . . .
4. Kwa wakristu inasonga . . .
Kwa watu wote inasonga . . .
5. Kwa kanisa inasonga . . .
Kwa chuo chetu inasonga . . .

Liturgical seasons

Mass parts

Inasonga Mbele Injili — Community Choir