Back to repertoire
Swahili

Heri Walio Maskini wa Roho

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Heri walio maskini wa roho, kwa maana ufalme wa mbingu ni wao *2

1. Huishika kweli milele, huwafanyia hukumu walio onewa,
Huwapa wenye njaa chakula, Bwana hufungua waliofungwa.
2. Bwana huwafumbua macho waliopofuka, Bwana huwainua walioinama/
Bwana huwapenda wenye haki, Bwana huwahifadhi wageni
3. Huwategemeza yatima na mjane, Bali njia ya wasio haki huipotosha/
Bwana atamiliki milele, Mungu wako Ee sayuni kizazi hata kizazi.

Liturgical seasons

Mass parts

Offertory