Back to repertoire
Swahili
Haya Tazameni (Ameweza!)
Also known as: Ameweza! (Haya Tazameni) · Haya Tazameni
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Haya tazameni ninyi wenyewe, Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote
Hata magumu yasiyofanyika , Mungu wangu…
Ameweza! Huyo ameweza yametimia *2
Oh Bwana Mungu kaweza, huyo ameweza yametimia
Yasiyowezekana, huyo ameweza yametimia
Yote ameyatenda, huyo ameweza yametimia
Ameweza, huyo ameweza yametimia!
2. Maji yaliyomwagika kabisa….
Ameyazoa yakajaa upya …
3. Katikati ya bahari ya sham …
Israeli kapita kwa muguu …
4. Nilipofukiwa shimo la zege …
Kulipokucha kaniweka huru …
5. Vilema vyangu nilivyomwonesha …
Amevigusa vikapona mara …
6. Nitapaza sauti milimani …
Dunia yote isikie haya …
Liturgical seasons
Mass parts
Thanksgiving