Back to repertoire
Swahili
Habari Njema
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Habari njema kwa wakristu wote
Mwokozi Kristu amefufuka *2
Ewe mkristu, shangwe kuu
kwake amefufuka*2
2. Naye Mariyamu na wenzake wote
walikuta kaburi liko wazi,
Hapo Mariyamu akaenda mbio,
Kwa wanafunzi kupasha habari
3. Thomaso naye hakuamini kamwe,
Ya kwamba Yesu amefufuka,
Kwa maonyesho pia Thomaso, kweli
akaamini amefufuka