Back to repertoire
Swahili

Ewe Malkia

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Ewe Malkia nyota ya bahari, U mama mpole mwenye huruma
Tuombee kwa mwanao
Ewe Maria mama yetu mwema, Sisi wanao tunakulilia
Tuombee kwa mwanao
Mama mwema msafi kabisa, Sikia maombi yetu
Wafahamu unyonge wetu, Hakuna wa kumlilia
Mama, wetu, mama, wa Mungu msafi Mama tuombee

Sop: Mwenyezi Mungu kamtuma Gabrieli,
mama tapata Mwana tapata
ATB: Mungu, tuma Gabriel Maria tapata
mwana, tapata
Tenor: Tamzaa Mwana, Mwana wa kiume
naye atakuwa mfalme mkuu
SAB: Mwana mwana (wa) kiume ‘takuwa
mfalme mkuu
Sop: “Simjui mume” Maria ‘lisema “Ewe
malaika, niambie”, ambie
ATB: Mume, alisema, ‘laika niambie
Tenor: “Roho Mtakatifu atakujaza, nawe
utamwita EMANUELI”
SAB: Tifu, atakujaza ‘tamwita EMANUELI

Ulikubali chukua mimba na
hivyo giza kaondolewa *2
1. Maria, mama wa Mungu, (aah) Mama tuombee
2. Mbingu zote, zakuheshimu (aah)..
3. Mametu, mwenye usafi (aah)...
4. Mametu, mwenye uzuri (aah) ..
5. Mametu, mwenye ‘tukufu (aah) ..
Mwenyezi Mungu, kamtuma Gabrieli......

.

Liturgical seasons

Mass parts