Back to repertoire
Swahili
Ee Maria Mama wa Mungu
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Ee Maria, Mama wa Mungu,
Utuombee sisi wanao
1. Mwenye heri wewe, Bikira Maria, Tunakusalimu, Maria.
2. Uliyemchukua aliyekuumba, Tunakusalimu...
3. Umetuzalia Mkombozi wetu,
4. Uliyekingiwa dhambi ya asili,
5. Uliyepalizwa mbinguni kwa Mungu,
6. Mama wa Kanisa, Mama yetu mwema,
7. Wastahili sifa za vizazi vyote,