Back to repertoire
Swahili

Ee Bwana Sistahili

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Communion

{Ee Bwana, sistahili! Sistahili ee Bwana uje moyoni mwangu} * 2
{Lakini sema neno moja sema neno (moja tu)
Nami nitajongea mbele kwa karamu} *2
1. Karamu ya Bwana, inatushibisha, mwili wake Yesu chakula cha Mbingu
2. Karamu ya Bwana, inatushibisha, damu yake Yesu kinywaji cha mbingu
3. Karamu ya Bwana, yatupa uzima, ni mwili wa Bwana na damu yake
4. Hiki ni chakula, kutoka mbinguni, Bwana atuita atushibishe
5. Huu mwili wangu,hii damu yangu, njooni kwangu niwashibishe

Communion

Ee Bwana sistahlli, sistahili uingie kwangu
Lakini Bwana sema neno moja
Na roho yangu itapona *2
1. Karibuni mezani mwake Bwana iliyoandaliwa (uu uu uu)
Tuule, tuule chakula cha roho (Bwana)
2. Mwili wake Bwana Mwili wake (uu uu uu)
chakula cha uzima damu kinywaji cha uzima (Bwana)
3. Tunapoishiriki karamu hii twashiriki uzima
Uzima uzima uzima wa milele.

Liturgical seasons

Mass parts

Communion